Please Wait
 

Hatua za Kupata Kitambulisho

1 Taarifa za msingi

Unaweza kupata kitambulisho kwa kutumia taarifa mbalimbali kama "namba ya kitambulisho cha taifa (NIDA) , namba ya Leseni ya udereva au kupandisha picha"

2 kujaza fomu

Fomu hii inakapatika kwa kubofya kitufe cha kijani kilichoandikwa (Omba Kitambulisho Kipya) ili kupata fomu ya kujaza pamoja na kuthibitisha taarifa zako. Baada ya kujaza taarifa na kuthibitisha utawasilisha maombi.

Hatua za Kupata Kitambulisho

3 Kufanya Malipo

Baada ya kuwasilisha maombi utapata ujumbe wenye namba ya malipo pamoja na kiasi cha kulipia ambacho ni shiling elfu ishirini (20,000) Tu. Baada ya kulipia utapata ujumbe unaoonyesha malipo yako.

4 Kupokea kitambulisho

Utapata kitambulisho chako kulingana na utaratibu utakaotolewa na halmashauri ulichagua wakati wa usajili wako